WAYNE  ROONEY   kuvaaa  bayern munich  huku mjini ujeruman  kwenye mchezo wa marudiano  ambao wa  hawali walitoka  draw 1-1.Manchester united ili ashinde  anaitajika ushindi wa aina yoyote ile au draw ya  2-2 basi hapo ataweza  kuungana na muingereza mwingine ambaye  kashafunzu kuingia kwenye round ya nusu final.
Vile vile hawatakuwepo na mpachika mabao wao  robin van persie  ambaye  ana majeraha ya miguu.

Lakini kwa upande wa  Bayern munich watakuwa wachezaji wao nguli na hatri  kama Roben na Ribery hakika manchester asipokuwa makini  hatapata tabu lakini vile na wao pia watawakosa wachezaji wao hata  kama Bastian Schweinsteiger ,Martinez  na Alcatara .
kama manchester watatumia  mwanya huo basi kesho  watashinda  na kuzidi kuwakumbusha uchungu ule wa mwaka 1999 .

Comments

Popular posts from this blog