MAANDAMANO YA WAISLAMU YALIVYOCHAFUA HALI YA HEWA JIJINI DAR LEO Wananchi wakitawanyika wakati wa vurugu eneo la Msimbazi, Kariakoo jijini Dar. Polisi wakiimarisha ulinzi eneo la Kariakoo leo. Hivi ndivyo hali ilivyokuwa leo katika maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam baada ya polisi kuzuia maandamano yaliyotaka kufanywa na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu kitendo kilichopelekea… Wananchi wakitawanyika wakati wa vurugu eneo la Msimbazi, Kariakoo jijini Dar. Polisi wakiimarisha ulinzi eneo la Kariakoo leo. Hivi ndivyo hali ilivyokuwa leo katika maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam baada ya polisi kuzuia maandamano yaliyotaka kufanywa na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu kitendo kilichopelekea mabomu ya machozi kulipuliwa na baadhi ya waumini hao kutia nguvuni na polisi. Magari ya Jeshi la...
Posts
Showing posts from October 19, 2012