Posts

Showing posts from October 5, 2012
Image
NI RICK ROSS FIESTA 2012 DAR Boss wa MMG In da building  Tanzania kwa ajiri ya kufanya shoo moja usiku wa jumamosi tarehe 06-10-2012 katika viwanja vya Leaders club.Hakika kwa sasa Rick rossie yuko juu sana duniani na ni mmoja kati ya wakali huko marekani hii sio show ya kukosa  koz ni tukio la kihistoria.
Image
HEKA HEKA ZA LALA SALAMA YA MAANDALIZI YA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2012 VIWANJA VYA LIDAZ CLUB LEO.