Posts

Showing posts from July 30, 2012
Image
AZAM YAMPA NGASA BARAKA ZOTE KUELEKEA JANGWANI KWA BEI  $ 50,000/= Siku chache baada ya mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Mrisho Ngassa kuonekana akiwa amevaa jezi ya Yanga na kuibusu logo ya klabu hiyo, waajiri wake wa klabu ya Azam kupitia ukurasa wao wa mtandao wa kijamii wa Facebook wamesema yafuatayo.   Azam FC Klabu ya Azam FC inapenda kutoa taarifa rasmi kuwa baada ya baada ya mchezaji wetu Mrisho Ngasa kuonesha wazi kuwa na mapenzi na Yanga kwa kuivaa na kuipiga busu Logo ya Yanga, tuliwapa Yanga nafasi ya upedeleo ya kumnunua lakini hadi leo hakuna ofa iliyokuja toka Yanga. simba wametoa ofa na uongozi unatafakari ofa ya Simba Yanga.... Ngasa anauzwa $50,000 wadau wa Yanga tunajua mnampenda sana Ngasa... fikisheni ujumbe kwa uongozi wenu.
Image
MESSI AZINDUA MVINYO WAKE - RONALDO NA KAKA YAKE WAFUNGUA KLABU YA USIKU: JE RONALDO ATAUZA MVINYO HUO WA MESSI KWENYE KLABU YAKE???  Kama ilivyotangazwa mwezi February, Kampuni ya Argentina ya kutengenza wine Bodega Valentin Bianchi amezindua wine za Leo Messi kwa kushirikiana na Foundation ya Leo Messi, huku faidika itakayopatikana kupitia wine hizo itaenda kusaidia watoto wenye matatizo. Chupa za wine hizo zimebandikwa lebo aidha ya jezi au mpira huku jina la "Leo" likiwa juu yake. Wine hizo zitakuwa zikipatikana Europe na Asia na Argentina pia. Kwa upande mwingine Cristiano Ronaldo na kaka yake wamefungua klabu ya usiku huko Ureno inayoitwa Seven Vilamoura NDANI JINSI KULIVYO   This is where Cristiano winks at hookers. (Seven Vilamoura)   This is where Cristiano has his naked rollerblading parties. (Seven Vilamoura)
Image
Image
LINGINE limeibuka! Kuna madai kwamba chakula kinachosadikiwa kuwa na sumu kilipenyezwa kwenye Gereza la Segerea, Dar es Salaam, mlengwa wa kukila alikuwa Elizabeth Michael ‘Lulu’, Ijumaa Wikienda limenasa data. Kwa mujibu wa chanzo chetu, kijana kutoka Mwanza anayekadiriwa kuwa na miaka 18-20 anatajwa kuhusika na ubebaji wa chakula hicho ambacho hadi sasa haijajulikana nani amesimama nyuma ya zoezi hilo. HABARI KAMILI Habari zinasema kuwa siku chache zilizopita kijana huyo akiwa na mfuko wa rambo wenye chakula hicho alifika gerezani hapo na kufanya ujanja wa kuingia ili kumpa chakula Lulu. “Huyu kijana alipofika hapa alitumia ujanja wake akaingia ndani kwa lengo la kumpa chakula Lulu akijifanya ametumwa na familia,” kilisema chanzo cha ndani. Inadaiwa kabla hajafika kwenye eneo la kukutana na Lulu, maafande walio macho muda wote huku wakizingatia maadili ya kazi, walimnasa kijana na kumbana kwa maswali ambapo alishindwa kujibu na kuingia mitini. “Kabla hajamfiki...