Posts

Showing posts from September 5, 2012
Image
IBADA YA MAZISHI YA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI YAFANYIKA ITETE, TUKUYU MKOANI MBEYA Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akilia kwa uchungu.  Maelfu ya  watu wakiongezeka kuja katika Mazishi ya mwandishi wa habari wa Channel 10 Daudi Mwangosi muda huu.  Mheshimiwa Mark Mwandosya ambaye ni Waziri ofisi ya Rais na pia Mbunge wa Rungwe Mashariki akitoa salamu kwa niaba ya Serikali.  Watu wakiwa wengi na wenye utulivu wakisikiliza watu mbalimbali wakitoa salam zao kwa ndugu wa Marehemu.  Mjane wa Marehemu Daudi Mwangosi aliyejishika, akiwa na uchungu muda huu. Ibada ikiwa inakaribia kuanza.  Ibada ya mazishi ndio imeanza muda huu.  Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa wenye majonzi makubwa. Waandishi wa Habari wakiwa katika msiba wa kwanza kutoka kulia ni Ndugu Joseph Mwaisango ambaye ni mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog, Rais wa UTPC Keny Simabaya, pamoja na Felix Mwakyembe .
Image
Usain Bolt  Usain Bolt set for Man Utd debut. Usain Bolt’s dream of playing for Manchester United is set to come true according to a story published in the magazine, Inside United . The 100 and 200 metre world record holder and Olympic champion is set to make his debut for the Red Devils in a friendly against the Real Madrid legends next year, Sir Alex Ferguson has revealed. "Usain is a character and a big United fan but it's interesting he says he'd like to play in a charity game. It could be brilliant, and next year there could be opportunities to bring him up and see how he does," Fergie told the magazine. The fastest man on the planet urged fans to help persuade Sir Alex to sign him up for United when he was a guest of honour during a 3-2 victory against Fulham in the League earlier in the season. Bolt has prev...
Image