SIMBA ,AZAM , YANGA MKO WAPI KIPAJI HIKI HAPA KIMARA UNITED . JINA KAMILI : JOHN MAJI a.k.a miji boy ,dogo anayejielewa uwanjani kwa kweli anakila sifa za kupiga kwenye hizo tajwa hapo. angalia mwenyewe.
] Ng'ombe hazeeki maini ndugu muangalie mkongwe akifanya yake hapo kinesi kabla ya mechi kuanza ya kimara united huko kinesi. Pamoja hakuwa na vifaa vya mpira lakini mkongwe huyo aliweza kumiliki mpira vizuri sana ...dah mkongwe wa zamani kwenye soka hongera sana.
WAYNE ROONEY kuvaaa bayern munich huku mjini ujeruman kwenye mchezo wa marudiano ambao wa hawali walitoka draw 1-1.Manchester united ili ashinde anaitajika ushindi wa aina yoyote ile au draw ya 2-2 basi hapo ataweza kuungana na muingereza mwingine ambaye kashafunzu kuingia kwenye round ya nusu final. Vile vile hawatakuwepo na mpachika mabao wao robin van persie ambaye ana majeraha ya miguu. Lakini kwa upande wa Bayern munich watakuwa wachezaji wao nguli na hatri kama Roben na Ribery hakika manchester asipokuwa makini hatapata tabu lakini vile na wao pia watawakosa wachezaji wao hata kama Bastian Schweinsteiger ,Martinez na Alcatara . kama manchester watatumia mwanya huo basi kesho watashinda na kuzidi kuwakumbusha uchungu ule wa mwaka 1999 .