USIKU WA JANA NDANI FIESTA BHASSSSSSSSSSSS MJINI MOROGORO. Palikuwa hapatoshi Morogoro Serengeti Fiesta katika Viwanja vya Jamhuri maana muonekano mpya na burudani ziliendelea kuwasha moto katika jukwaa la fiesta mkoani hapo. Nyota wa kizazi kipya katika muziki wa bongo fleva huyu si mwingine ni Ben Pol akionyesha vitu vyake katika stage ya Serengeti Fiesta mkoani morogoro usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya jamhuri. Ukipenda Umwite Mwarabu wa Dubai au Bepari la kihaya huyu si mwingine namzungumia Mpoki kutoka Original comedy naye alikuwa ni moja mpaka msanii anayejulikana kwa jina la JB akawa anampongeza comedian huyo katika Tamasha la Serengeti Fiesta mkoani morogoro usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya jamhuri. Dyana akitoa burundani ile ile kwa mashabiki wake katika Tamasha la Serengeti Fiesta viwanja vya jamhuri mkoani Morogoro usiku wa kuamkia leo. ...