Posts

Showing posts from August 11, 2012
Image
African Lyon Kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara Klabu ya African Lyon imemtangaza Pablo Ignacio Velez raia wa Argentina kama kocha mpya atakaekinoa kikosi hicho msimu huu. Amesisitiza kuwa atahakikisha vijana wanapewa nafasi ya kuonyesha vipaji katika kikosi cha kwanza