WASAMARIA WEMA WAANZA KUMCHANGIA MTOTO JULIANA Mtoto Juliana Mwinuka mkazi wa Ludewa ambaye anahitaji msaada wa kutibiwa kutokana na tatizo la kuungua moto linalomsumbua . Hawa hapa chini ndio ambao wameanza kuguswa na tatizo la mtoto huyo kwa kuchangia fedha kwa njia ya M-PESA kwa namba 0754 026299 ama Tigo Pesa 0712 750199 Hashimu Mbambo (Tsh. 5,000), Neema Ayoub (Tsh 15,000),Onesmo Lulandala(Tsh 10,000),Gasto Mgeni (Tsh. 20,000)na Allin Allin (Tsh 10,000) na Mussa Ayoub (Tsh 10,000)mmiliki wa mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com kwa niaba ya watanzania wote napenda kuwapongeza wote walioguswa na tatizo la mtoto Julian Mwinuka na kuwaomba wengine zaidi kujitokeza kuchangia chochote kwa namba hiyo hapo juu