akidajr.blogspot.com ni inajiuhusisha na mambo yote ya kijamii,kiuchumi pamoja na kimaendeleo(Technologia). Ni blog imekuja kufanya mapinduzi ya blogs hapa nchi kwetu na vile vile kuwasadia vijana na wazee wa lika tofauti kupata Taarifa mbali mbali zinazo husu dunia kwa ujumla . Na vile vile hii blog ya vijana inapenda kuwa hasa vijana Tusome na tufanye kazi kwa bidii ili tuje kuijenga hii nchi yetu yenye kila sababu ya maendeleo lakini cha kushangaza nchi haendeli hata kidogo ila wenye vitambi ndo wanazidi kujilimbikizia mali kwenye matumbo yao na kuwa peleka watoto wao nje na kuwaanda kuwa nao wezi wa baadae kama wao wazazi wao. Vijana tuamke na tupiganie nchi yetu na tupigane vikali na huyu audui mkali wa rushwa,ufisadi,zulma pamoja na unyanyasaji kwa wasio na elimu wala kipato.Muokozi na Muondelezaji wa rasilimali za hapa nchi kwetu ni wewe na mimi .Amka toka gizani.
Posts
Showing posts from June 25, 2012