Posts

Showing posts from September 23, 2012
Image
BAADHI YA PICHA LIVERPOOL VS MAN U                       
Image
Rodgers Aongelea hali ya Borin na Agger  Rodgers told his post-match press conference: "Fabio had a badly swollen ankle and was struggling to put any sort of force on the floor, so we'll assess that tomorrow and see how he is. It looked badly bruised at half-time. "Daniel Agger we'll need to wait and see. It didn't look so good with his knee, and some of the medics were saying he may have a problem with his medial ligament, but we'll to assess that over the next 24 hours and look at it again tomorrow."
Image
JONJO SHELVEY AMUOMBA MSAMAHA SIR ALEX FERGUSON  
Image
SOUREZ AKISALIMIANA  NA EVRA KUASHIRIA BIFU LIMEISHA LEO WAKATI TIMU HIZO ZILIVYOKUTANA AMBAPO MAN UTD WALISHINDA 2 KWA 1 DHIDI YAO LIVERPOOL. SOUREZ AKISALIMIANA NA EVRA
Image
MINZIRO AKATAA  LAWAMA  YANGA Minziro kulia akiwa Kocha wa Makipa Yanga, Mfaume Athumani KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Freddy Felix Isaya Kataraiya Minziro amesema kwamba hawezi kusema yuko tayari kuwa Kocha Mkuu wa kudumu wa klabu hiyo, kwa sababu jukumu hilo anaona litakuwa zito kwake, kulingana na uzito wa klabu yenyewe. Akizungumza na Waandishi wa Habari jana baada ya mechi dhidi ya JKT Ruvu, ambayo aliiongoza Yanga kushinda 4-1, beki huyo wa zamani wa Yanga, alisema kwamba hawezi kuanza kutamba anatosha kuwa kocha Mkuu baada ya ushindi huo, kwa sababu ligi ni ndefu.   “Siwezi kusema natosha kuwa Kocha Mkuu, kwa sababu mambo ya mpira leo umeshinda, kesho kuna kufungwa, nachoweza kusema namshukuru Mungu tu kwa ushindi huu,”alisema mtaalamu huyo wa zamani wa mipira ya mkato wa ndizi ‘Banana chop’.   Akiuzungumzia ushindi huo, Minziro alisema umetokana na ushirikiano baina yake na wachezaji, kwani alipewa jukumu la kukaimu uko...
Image
jengo lililo andaliwa kwa kwa ajiri ya kuonyesha ile sinema ya kumkashifu Mtume MUHHAMAD lapigwa tetemeko la tetemeko la ajabu   Lil e jengo lililo andaliwa kwa kwa ajiri ya kuonyesha ile sinema ya kumkashifu Mtume MUHHAMAD(S.W.A ),Jana mchana limetokea tetemeko la ajabu kwenye jengo hilo na kusababisha jengo hilo kukatika vipande viwili,kweli mwenyezi mungu aliahidi kumlinda mtume wake pindi anapodhalilishwa.
Image
ANGALIA SHAHADA CHUO KIKUU ZINAVYOTAFUTWA NA WADADA WETU Halafu anataka akitoka hapa apate  ajira  kweli ataweza kazi huyu kama ndo mtindo ndo huu    au ndo itakuwa mwendo wa vizenga mbaka kwenye kazi.
Image
baadhi ya picha za matukio mbalimbali klabuni yanga jana kabla kocha Tom kufukuzwa Hapa Kocha Mbelgiji wa Yanga, Tom Saintfiet alikuwa anatoka makao makuu ya klabu, baada ya kumaliza kuzungumza na Waandishi wa Habari na kutaja wachezaji 18 wa kushiriki mechi ya leo na JKT Ruvu. Kushoto kwake ni Hafidh Saleh, aliyekuwa Meneja wake.   Kipa Said Mohamed kushoto na kiungo Nurdin Bakari kulia, wakitoka kusali sala ya Ijumaa. Katikati yao ni Dk Sufiani Juma makao makuu ya klabu, Jangwani Abdallah Bin Kleb akizungumza na Haruna Niyonzima baada ya sala ya Ijumaa Kutoka kulia, Haruna Niyonzima, Bin Kleb, Said Bahanuzi na Nurdin bakari baada ya sala ya Ijumaa, makao makuu ya klabu, Jangwani.  Bin Kleb na Bahanuzi
Image
 MNYAMA  AENDELEZA TAMBO ZAKO   Mnyama ameendelea kuunguruma katika Ligi Kuu Tanzania bara baada ya kuwachezesha kwata maafande wa Ruvu Shooting uwanja wa Taifa. Magoli ya Simba yametiwa nyavuni na Felix Sunzu huku yosso Edward "Eddo" Christopher akikwamisha wavuni bao la ushindi baada ya kazi nzuri ya Mrisho Alfan Ngassa.