Keita aondoka Barcelona. Mchezaji wa kiungo wa Mali Seydou Keita amekihama klabu cha Barcelona baada ya kukichezea kwa miaka minne. Katika muda huo wa miaka minne, Keita aliisaidia Barcelona kuzoa jumla ya vikombe 14. Wakati wakithibitisha kuondoka kwa mwamba huyo, Barca walimishukuru Seydou Keita kwa juhudi zake za kuletea klabu hicho cha Uhispania mafanikio na vile vile wakamtakia kila lakheri anakokwenda. Kwa wakati huu kuna fununu kwamba mchezaji huyo wa Mali huenda anahamia klabu kimoja cha Uchina, Dalian Aerbin Ikiwa hatiamae ataishia China basi Keita hatakuwa mchezaji wa kwanza kutoka bara la Afrika kufanya hivyo. Majuzi nahodha wa timu ya Ivory Coast Didier Drogba aliwafuata Frederic Kanoute na Yakubu Aiyegbeni wa Nigeria kujiunga na timu za ligi kuu ya China. Keita, mwenye umri wa...
Posts
Showing posts from July 23, 2012
- Get link
- X
- Other Apps
Robin van Persie: Arsene Wenger wants striker's future sorted. Arsenal manager Arsene Wenger wants Robin van Persie to stay at the Emirates Stadium. Van Persie's contract with the Gunners runs out next summer and he says he will not sign a new deal. But Wenger has called for the Netherlands striker's future to be sorted out before the start of the Premier League season on 18 August. "He has one year left and is in demand but our desire is to keep him," said the Arsenal boss. "However, we will do what is in the best interests of the club. If you have a decoder in your head you can decode that." The Gunners have already rejected offers from Manchester City, Manchester United and Juventus for the Dutchman. Van Persie scored 37 goals last season, 30 of them in the Premier League, and won both the PFA and Football Writers' Associati...
- Get link
- X
- Other Apps
Ferrari's Fernando Alonso is the man for all seasons. Fernando Alonso's Ferrari was probably the third fastest car in the German Grand Prix yet he won the race from pole position. It was another remarkable performance from Alonso. I've said many times that if you give him a chance he will take it, and that is what happened at Hockenheim. Ferrari have a car for all seasons. Alonso put it on pole in the wet, for the second consecutive race, but unlike Silverstone two weeks ago this time he won the race in the dry as well. He got a good start and controlled the race. He didn't have the quickest car by any means but he managed it well. Where he needed to be quick - through the last couple of corners, and the first part of the lap before the DRS overtaking zone - he put the car on the limit a bit more to ensure he could not be passed, and everywhere else he looked after the car and tyres. ...
- Get link
- X
- Other Apps
Who is Lucas Moura? Born: 13 August 1992, Sao Paulo, Brazil Clubs: Juventus, Corinthians and Sao Paulo. International career: 15 senior caps for Brazil including apperances for his country at the 2011 Copa America Lucas Moura a Manchester United target - Sir Alex Ferguson. Sir Alex Ferguson says Manchester United are interested in Brazil international Lucas Moura. Ferguson is keen to sign Sao Paulo midfielder Lucas, 19, but the United manager denied a deal, reported to be £26m, has been agreed. We haven't reached an agreement for the player. We've shown an interest but until such time as we get a deal agreed we can't say he's our player." Lucas is in Brazil's Olympic squad and has attracted interest from other Premier League clubs, including Chelsea, as well as Real Madrid and Inter Milan. Ferguson has already signed two players, J...
- Get link
- X
- Other Apps
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Nizar Khalfan, ameondolewa katika kikosi cha timu hiyo kinachoshiriki Kombe la Kagame kufuatia kushtua nyonga. Nizar ambaye amesajiliwa na Yanga msimu huu baada ya kutemwa na klabu ya Philadelphia Union ya Marekani, kabla ya kupata majeraha hayo alikuwa tayari ameshatupia nyavuni bao moja katika michuano hiyo. Akizungumza na Championi Jumatatu, Daktari wa Yanga, Juma Sufiani, alisema Nizar aliumia Ijumaa iliyopita wakati timu hiyo ikicheza dhidi ya APR ya Rwanda ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kutinga katika hatua ya robo fainali. Leo, Yanga wataanza changamoto ya kucheza michuano ya Kombe la Kagame bila kiungo huyo katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar, unaotarajiwa kuchezwa kuanzia saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Sufiani alisema kiungo huyo atakuwa nje kwa muda wa wiki mbili, ikiwa na maana kwamba huenda asionekane tena katika michuano hiyo kwa mwaka huu, hata kama Yanga itafanikiwa kufik...
- Get link
- X
- Other Apps
MAAJABU YA MELI . MELI ya MV Skagit imekwishazama kabisa kwenye Bahari ya Hindi eneo ambalo ilitokea ajali na zoezi la kutafuta maiti nyingine limesitishwa, serikali ilisema mwishoni mwa wiki iliyopita. Tamko hilo la serikali lilikuja huku ndugu wa watu ambao hawakupatikana wakiwa wanaumia kwa majonzi yasiyo na kifani kufuatia akili zao kushindwa kuamini kama kweli ndugu zao hawataonekana walikolala. Baadhi ya watu waliozungumza na Ijumaa Wikienda, pia wameshangazwa na maajabu yanayotokana na kuzama kwa meli, vifo vya abiria na zoezi la uokoaji. Wengi wanaamini kwamba ajali za meli huambatana na maajabu kwani haijawahi kutokea maiti wote kupatikana hata kama kukiwepo na wapiga mbizi maarufu wa dunia. “Ajali ya MV Taitanic iliyozama miaka ya tisini, MV Bukoba mwaka 96, MV Spice Islanders, mwaka jana, MV Skagit na nyingine nyingi, abiria hawakupatikana wote. Ni lazima wengine wabaki,” alisema Maulid, mkazi wa Kariakoo, jijini Dar ambaye mke wa rafiki yake hakuonekana ka...
- Get link
- X
- Other Apps
Barua Ya Chadema Kwa Waheshimiwa Madiwani Wa CCM Na TLP, Manispaa Ya Arusha. Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu. Sisi Madiwani wa CHADEMA tumefikiri na kutafakari kwa kina kuhusu mustakabali wa maendeleo ya wananchi wa Manispaa ya Arusha Mjini. Kwa nafasi yetu ya wawakilishi na utetezi wa wananchi Arusha kwa umoja wetu ni vema tufikiri na tutafakari kwa kina kwa pamoja hasa kipaumebele ikiwa ni kutanguliza HAKI na MAENDELEO katika kumlenga kila mkazi wa aliyepo katika Halmashauri yetu. NI vema tukawa WAKWELI na WAZELENDO kwa wananchi wetu wa Arusha, huku wote tukijua kwa kina kile kilichotokea Arusha. Kwa muda mrefu kumekuwa na mgogoro wa Uchaguzi wa MEYA wa manispaa ya Arusha, ambayo ilitokana na ukiukwaji wa kanuni na taratibu za uchaguzi wa Meya ambayo akidi yake ilikuwa haijatimia. Ikumbukwe kuwa Mhe. Kivuyo ambaye katika sakata hilo alijikuta akichaguliwa kwa hila kuwa NAIBU MEYA, alifikia hatua ya kujizulu nafasi hiyi na kukiri mb...