Posts

Showing posts from August 30, 2012
Image
Mbio mpya za Magari ya Umeme Magari ya mbio Formula 1 Katika ulimwengu wa mbio za magari injini inayotegemea joto ndiyo mtawala. Viwanja vya mduara kwa mashindano ya magari ya Langalanga daima husikika miliyo inayopausa masikio kwa uwezo wa injini zenye nguvu kubwa kama V10 na V12. Ingawa utawala wa injini hizo zinazotegemea joto unakaribia kwisha. Chama kinachotawala mchezo wa magari FIA, kimetangaza mipango mipya ya mbio za magari iliyobuniwa kwa magari yanayotumiwa nguvu ya umeme pekee. Mashindano mapya , yatakayojulikana kama Formula E, yanatazamiwa mwaka 2014. Makampuni yanayotengeneza magari yameombwa kaunde magari yao yenyewe , ambayo yatashiriki mbio za mitaa ya mijini kote Duniani. Mashindano haya yataendeshwa na shirika la Formula E Holdings, ushirika wa wawekeza...
Image
30 August 2012 Last updated at 06:23 GMT       Real Madrid beat Barcelona in Cup Real Madrid overturn a 3-2 first leg deficit against 10-man Barcelona to win the Spanish Super Cup on away goals.