Kocha wa Kuwait apigwa risasi Goran Tufegdzic Polisi ya Serbia inasema kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Kuwait Goran Tufegdzic ameuawa kwa kupigwa risasi nchini mwao Serbia na hali yake imesemekana ni mbaya. Polisi katika mji wa Pozarevac ulio katikati mwa nchi wamesema kuwa Bw.Tufegdzic alipigwa risasi ya kifua siku ya ijumaa baada ya ugomvi na jirani juu ya kipande cha ardhi. Baada ya hapo alimpiga risasi na kukimbizwa hadi hospitali ya mjini Belgrade. Tufegdzic, ambaye amefanya kazi huko Mashariki ya kati kwa takriban miaka kumi aliteuliwa kama kocha wa Kuwait mwaka 2009. Aliiwezesha timu hio kufuzu kushiriki kombe la mataifa ya bara Asia la mwaka 2010 na kuisaidia kushinda kombe la mataifa ya Ghuba la mwaka 2010. Mwenyekiti wa chama cha mpira cha Kuwait Sheik Talal Al-Sabah anasema kuwa amezungumza na mke wa kocha huyo na ana matumain...
Posts
Showing posts from August 26, 2012
- Get link
- X
- Other Apps
Liverpool yaizawadia Man.City Martin Skrtel Kosa la beki Martin Skrtel lilimzawadia Tevez na Man.City pointi moja ugenini na fursa ambayo hawakustahili kuondoka na hata alama uwanja wa Anfield. Liverpool ilionekana kama itakayompa furaha kocha wake mpya Brendan Rodgers kwa ushindi wa kwanza wa msimu hadi beki huyo Skrtel alipoamua kiuzembe kuurudisha mpira kwa golikipa bila kumuona Carlos Tevez, aliyekua akitegea na akaipokea zawadi hio bila kusita zikisalia dakika 10 za mchezo kumalizika. Hilo likawa bao lake la 100 katika Ligi ya England. Kabla ya kosa hilo beki huyo Skirtel aliipatia Liverpool bao lake la kuiinua kabla ya kosa hilo na mchanganyiko wa mabeki uliomwezesha Yaya Toure kusawazisha. Mkwaju wa ''free kick'' kutoka guu la Luis Suarez liliwarejeshea mashabiki wa Liverpool matumaini kabl...
- Get link
- X
- Other Apps
Liverpool 2-2 Manchester City: Skrtel error gifts Tevez to save point for champions The Slovakian gave the hosts a deserved lead in the first half, but a lapse in concentration allowed the Argentine striker to earn his side a point with his 100th goal in England getty images A howler from Martin Skrtel handed Manchester City a point from its trip to Anfield as Liverpool drew 2-2 with the champions in their first home Premier League game under Brendan Rodgers. Don't Miss Player Ratings: Liverpool 2-2 Man City The defender had given his side a halftime lead before Yaya Toure equalized just past the hour mark, before a Luis Suarez free-kick looked to have earned the Reds victory until Skrtel's error allowed Carlos Tevez to score his 100th goal in English top-flight football. Brendan Rodgers handed a Premier League debut to 17-year-old Raheem ...