Posts

Image
MAMA KIKWETE AWAASA WALIMU NA WAZAZI KUSIMAMIA WATOTO VYEMA KATIKA ELIMU Na Anna Nkinda- Maelezo, Lindi Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi   (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka wazazi na walimu kushirikiana kwa pamoja na kuhakikisha wanafunzi wanakwenda shule na kusoma   jambo ambalo litasaidia kupanda kwa kiwango cha elimu mkoani humo. Mama Kikwete ambaye pia ni Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete alitoa rai hiyo hivi karibuni wakati akiongea na wananchi pamoja   na wanafunzi wa kijiji cha Ruaha waliofika kumsalimia mara baada ya kumaliza mkutano wake   na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi la Ruaha lililopo   katika kata ya Mingoyo   wilaya ya Lindi mjini. Mjumbe huyo wa Halmashauri Kuu Taifa   alisema kiwango cha elimu katika mkoa huo kiko chini lakini kama wazazi watahakikisha watoto wao wanaenda shule kwa wakati na walimu wakihakikisha watoto wamefika shule na kuwafundisha kiw...
Image
AZAM FC YAKABIDHIWA KOMBE LAO RASMI CHAMAZI, SIMBA IKIENDA SARE NA YANGA TAIFA  Wachezaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Azam FC ya Chamazi Dar es Salaam wakishangilia baada ya kuweka historia ya kutwaa Ubingwa wa Soka Tanzania 2013-2014. Ubingwa huo ulikuwa unashikiliwa na Yanga iliyoambulia nafasi ya pili na leo ikitoka sare na Simba 1-1. Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba. Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba. Mshambuliaji wa timu ya Yanga Didier Kavumbagu (katikati) akiwatoka mabeki wa timu ya Simba katika mchezo wa Ligi ku...
Image
PICHA  NA KIMARA UNITED HAPO KINESI
Image
  QUOTATION: Be peaceful, be courteous, obey the law, respect everyone; but if someone puts his hand on you, send him to the cemetery. Malcolm X      Education is the passport to the future, for tomorrow belongs to those who prepare for it today. Malcolm X Read more at http://www.brainyquote.com/quotes/quotes/m/malcolmx386475.html#ukHxZL3oWKhLH3XZ.99   Education is the passport to the future, for tomorrow belongs to those who prepare for it today. Malcolm X Read more at http://www.brainyquote.com/quotes/quotes/m/malcolmx386475.html#ukHxZL3oWKhLH3XZ.99 Education is the passport to the future, for tomorrow belongs to those who prepare for it today. Malcolm X Read more at http://www.brainyquote.com/quotes/quotes/m/malcolmx386475.html#ukHxZL3oWKhLH3XZ.99         Be peaceful, be courteous, obey the law, respect everyone; but if someone puts his hand on you, send him to the cemetery. ...
Image
Francis alitafuta kazi kwa muda wa miaka kadhaa bila mafanikio yeyote. baada ya maisha kumpiga sana akaabaatika kuajiwa na mzee mmoja, mzee yule alijitolea kumpa Tax yake awe anaifanyia kazi. Siku moja Francis akiwa katika harakati zake za kazi Baada ya kukaa muda mrefu bila kupata mteja, ilikuwa kama mida ya saa 8 mchana jamaa mmoja akampigia simu mara moja afike kiwanja cha ndege kuna abiria anamsubiri, bila kusubiri Francis aliw asha gari mwendo wa dakika 20 akawa amefika eneo la tukio. Baada ya kupata maelekezo yote kutoka kwa yule rafiki yake, alisubiri kama muda wa dakika 5 ndege iliwasili kutoka Saudia Arabia.. Alishuka mwanamke mmoja mwenye hadhi yake.. Bila kuchelewa Francis alifungua mlango wa taxi yake, kuonyesha mama yule aingie kwenye gari. Mwendo ulinza mapaka kwenye Hoteli ya serena hoteli iliyopo pale posta.... Francis akiwa njiani, aligeuka nyuma ambapo ndipo alipokaa yule mama, kwa mshangao akaona Pochi kubwa, kama unavyojua wamama wanavyojua...
Image
SIMBA  ,AZAM , YANGA  MKO WAPI  KIPAJI HIKI HAPA KIMARA UNITED . JINA  KAMILI : JOHN MAJI  a.k.a miji boy ,dogo anayejielewa uwanjani kwa kweli  anakila sifa za kupiga  kwenye hizo tajwa hapo. angalia mwenyewe.
Image
] Ng'ombe hazeeki maini ndugu  muangalie mkongwe  akifanya yake  hapo kinesi kabla  ya mechi kuanza  ya kimara united huko kinesi. Pamoja  hakuwa na vifaa vya mpira lakini mkongwe huyo aliweza kumiliki mpira vizuri sana ...dah mkongwe  wa zamani kwenye  soka  hongera sana.