Posts

Showing posts from August 19, 2012
Image
Je! Mavazi ya Polisi wa Kike yanakidhi matakwa ya Waraka Na 3 wa Mavazi ya Watumishi wa Umma? Baadhi ya wadau wamehoji mavazi ya namna hii kwa Asakri Polisi wa Kike kama yanakidhi matakwa na kuweza kumsitiri Askari wa kike wa Jeshi la Polisi awapo katika Utekelezaji wa Kazi zake za kila siku kwa kuwahudumia wananchi. Pia wadau wanahoji kuwa Waraka wa Utumishi wa Umma na 3 wa mwaka 2007   kuhusu mavazi kwa watumishi wa umma kama unatekelezwa na Jeshi jeshi hilo ama au wahusu. Aidha wadau hao wamesema ipo haja kwa Jeshi la Polisi hapa nchini kubadili mavazi hayo kwa Wanawake na kuamuru zivaliwe surwale wakati wote wawapo kazini maana wapo askari wa kikle wanaoenda doria na sketi hizo jambo ambalo ni rahisi kutokea vitendo vya uzalilishaji kwao, na badala yake wameshauri zivaliwe wakati wa   shughuli maalum tu kama vile sherehe za kijeshi na Kitaifa ambapo hakuihitaji pilika pilika za hapa na pale ndio wavae Sketi huku pia wakidai sketi hizo ziwe ndefu kia...
Image
RAIS KIKWETE KATIKA SWALA YA IDD LEO MSIKITI WA KINONDONI MUSLIM.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012 .   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa  wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa miongoni wa waumini  walio swali swala ya eid
Image
   West Brom 3 - 0 Liverpool The Brendan Rodgers era at Liverpool gets off to a disappointing start at West Brom. Newcastle 2 - 1 Tottenham Arsenal 0 - 0 Sunderland QPR 0 - 5 Swansea ...
Image
EXPENDABLES RELEASED. The Expendables 2: Jean-Claude Van Damme w/ Dolph Lundgren, Arnold Schwarzenegger, Sylvester Stallone and Jason Statham.
Image
Arsenal close to signing Real Madrid's Nuri Sahin on loan.   Arsenal are close to completing the loan signing of Real Madrid midfielder Nuri Sahin. The 23-year-old, who has also been targeted by Liverpool this summer, is set to join on a season-long basis with a view to a permanent move. His arrival should be confirmed early next week as Arsenal look to replace Alex Song, who is on the verge of a £15m transfer to Barcelona. Turkey international Sahin made 11 appearances for Real last season. He joined the Spanish giants from Borussia Dortmund on a six-year contract in May 2011 but has struggled to establish himself at the Bernabeu. Liverpool manager Brendan Rodgers, who worked under Real coach Jose Mourinho at Chelsea, was hopeful of pushing through a deal for Sahin last week. Real Madrid's former Liverpool midfielder Xabi Alonso has also attempted to persuade Sahin to mov...