Posts

Showing posts from October 6, 2012
Image
KALAPINA AONGEA KUHUSU UJIO WA RICK ROSS Nguli wa  Hip hop hapa  Bongo, lijulikanalo kama  Kikosi cha Mizinga lenye maskani yake  pande za  Kinondoni jijini Dar, Kalama  Masoud Kalapina amesema  ujio wa  nyota wa muziki huo kutoka Marekani Rick Ross kwenye tamasha  la Fiesta  2012 ni zaidi ya  shoo kwa  wasanii wa  Tanzania. Akizungumza  na blog hii  mapema leo Kalapina amesema kuwa  wasanii wa Bongo hawataakiwi kwenda  kwenye shoo ya  fiesta  kwa ajili ya kupiga picha na mkali huyo kwa ajili ya facebook na twitter  ama kwenda kugusa  tumbo kwani hazitawasaidia chochote kwenye muziki wao. Hatutakiwi kwenda kwa ajiri ya facebook na twitter isipokuwa  tunatakiwa  kwenda kujifunza mbinu anazotumia kutawala jukwaa na pia kujaribu kuzungumza naye kuhusu njia ambazo anatumia  kupata mafanikio kimuziki na zaidi  kipi kimemfanya  kuwa mmoja ya mas...