Juventus plan Premier League raid Manchester United, Chelsea, Liverpool, Arsenal, Tottenham Hotspur & Manchester City news and transfer headline Serie A champions Juventus are planning to raid Manchester United and Arsenal in January with moves for wingers Theo Walcott and Nani. Cristiano Ronaldo has pledged his future to Real Madrid. Football News 24
Posts
Showing posts from September 13, 2012
- Get link
- X
- Other Apps
Cameron aomba radhi Uchunguzi wa awali uliwalaumu mashabiki wa Liverpool uliosababisha vifo vya mashabiki 96 David Cameron ameomba radhi na kuelezea kama hali ya “kutotendewa haki maradufu” kufuatia maafa ya Hillsborough katika uwanja wa soka. Akizungumza baada ya kusoma ripoti huru ambayo ilifichua baadhi ya maelezo ambayo hayakuwa yamewekwa wazi hapo awali kufuatia mkasa huo, waziri mkuu wa Uingereza alisema maafisa wa polisi walishindwa kutekeleza wajibu wao kikamilifu, na kisha kuwalaumu mashabiki wa klabu ya Liverpool. Mashabiki 96 walikufa kufuatia taharuki uwanjani na kukanyagana, katika uwanja wa Sheffield Wednesday, mwaka 1989. Trevor Hicks, ambaye ni kati ya watu ambao wamekuwa wakiongoza kampeni ya kufahamu ukweli, alisema ripoti hiyo inaonyesha kwamba maisha ya wengi yangeliweza kuokolewa kama huduma za dharura zingelipatikan...
- Get link
- X
- Other Apps
Chipolopolo yailipua Cranes Nahodha Christopher Katongo asherehekea goli Mabingwa wa Afrika Zambia wamewafunga Uganda bao 1-0 katika mechi iliyochezwa uwanja wa Levy Mwanawasa , mjini Ndola ,zambia, Jumamosi. Hii ilikuwa mechi ya kuwania kufuzu kucheza fainali za kombe la Afrika za mwaka 2013, Afrika kusini. Nahodha wa Chipolopolo Christopher Katongo alifunga goli kutokea katikati ya uwanja kipindi cha kwanza cha mchezo. Mchezaji huyo anayesakata soka ya kulipwa nchini China alitumia mwanya wa kuzubaa kwa mabeki wa The Cranes kunasa mpira wa kurusha wa Davies Nkausu na kufurahisha mashabiki wapatao 40,000 waliohudhuria mechi hiyo. Uganda, inasaka nafasi kwa mara ya kwanza kucheza fainali za kombe la Afrika (AFCON) tangu mwaka 1978 ilipomaliza mshindi wa pili nyuma ya wenyeji Ghana. Timu hizo...
- Get link
- X
- Other Apps
Lampard aiokoa England Lampard aliiwezesha England angalau kuondoka na pointi moja katika uwanja wa nyumbani wa Wembley Mkwaju wa penalti wa Frank Lampard katika dakika za mwishomwisho uliiwezesha England kuondoka na angalau pointi moja katika mechi ya kufuzu kushirikishwa katika michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Ukraine, katika uwanja wa Wembley. Yevgeni Konoplianka aliweza kufunga bao la kusisimua katika kipindi cha kwanza na kuiwezesha Ukraine kupata nafasi ya kuongoza, hadi zikiwa zimesalia dakika tatu mechi kumalizika, juhudi za England hatimaye zilipata ufanisi. Mchezaji wa zamu Danny Welbeck ambaye alibadilisha mchezo tangu alipoingia, alishuhudia juhudi zake zikizimwa kwa njia isiyo halali na Yevgeni Khacheridi, na kutokana na adhabu iliyotolewa ya penalti, Lampard, kama ilivyo desturi, akiwa makini na mtulivu, aliweza kuf...