MASANJA MKANDAMIZAJI AMWAGA MAHUBIRI UBARI. Masanja Mkandamizaji msanii wa vichekesho Mchungaji Mtarajiwa. MSANII Nyota na mchekeshaji mahiri katika tasnia ya filamu Swahiliwood Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ hivi karibuni alifanya huduma ya mahubiri ya dharura katika mazishi ya mdogo wake aliyejulikana kwa jina la Varerian Mgaya yaliyofanyika huku Mbalali katika Kijiji cha Ubaruku, Masanja alitumia muda aliopewa na familia kwa ajili ya kutoa shukani kwa ndugu na jamaa waliojitokeza katika mazishi hayo yaliyoudhuriwa na mamia ya waombolezaji kutoka sehemu mbalimbali, Masanja alisistiza vijana na jamii nzima kuokoka na kumtumikia Mungu. Umati wa wakazi wa Ubaruku wakimsikiliza Masanja Mkandamizaji haonekani pichani. Wakazi wa Ubaruku wakiwa makini kumsilikilza Mchungaji mtarajiwa Masanja Mkandamizaji. Mac Reagan akipiga picha katika tukio hilo. Masanja akisikiliza Mhubiri mwenzake katika makaburi ya Ubaruku. Msanja Mkandamizaji akiwa Mh. Neema Mg...