]


Ng'ombe hazeeki maini ndugu  muangalie mkongwe  akifanya yake  hapo kinesi kabla  ya mechi kuanza  ya kimara united huko kinesi.
Pamoja  hakuwa na vifaa vya mpira lakini mkongwe huyo aliweza kumiliki mpira vizuri sana ...dah mkongwe  wa zamani kwenye  soka  hongera sana.

Comments

Popular posts from this blog