Mti kivuli fc yaichapa  Mnarani fc magoli 3 kwa 1 ,magori yaliyowekwa kimiyani na wachezaji hatari wa mti kivuli fc.Mnamo kipindi cha kwanza  mnarani fc waliweza kutawala vizuri  na kuweza kupata  gori la kuongoza kupitia kwa beki wake  machachari wa kulia kwa jina joni maji na hapo ndipo  achezaji wa mti kivuli fc walivyoamka na kufanya mabadiliko ya kumtoa mchezaji wa toni na kuiongeza forward  wao hatari  kwa jina la manywele na ndipo hapo walipo wa piga mnarani magori 3 kwa 0.

 hapa kocha mkuu wa mti kivuli  akibadilishana  mawazo na team capten  shear boy.
wachezaji wakiwa kwenye mapumziko.

Comments

Popular posts from this blog