NI RICK ROSS FIESTA 2012 DAR


Boss wa MMG In da building  Tanzania kwa ajiri ya kufanya shoo moja usiku wa jumamosi tarehe 06-10-2012 katika viwanja vya Leaders club.Hakika kwa sasa Rick rossie yuko juu sana duniani na ni mmoja kati ya wakali huko marekani hii sio show ya kukosa  koz ni tukio la kihistoria.

Comments

Popular posts from this blog