WASAMARIA WEMA WAANZA KUMCHANGIA MTOTO JULIANA

Mtoto Juliana Mwinuka mkazi wa Ludewa ambaye anahitaji msaada wa kutibiwa kutokana na tatizo la kuungua moto linalomsumbua . Hawa hapa chini ndio ambao wameanza kuguswa na tatizo la mtoto huyo kwa kuchangia fedha kwa njia ya M-PESA kwa namba 0754 026299  ama Tigo Pesa 0712 750199
Hashimu Mbambo (Tsh. 5,000), Neema Ayoub (Tsh 15,000),Onesmo Lulandala(Tsh 10,000),Gasto Mgeni (Tsh. 20,000)na Allin Allin (Tsh 10,000) na Mussa Ayoub (Tsh 10,000)mmiliki wa mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com kwa niaba ya watanzania wote napenda kuwapongeza wote walioguswa na tatizo la mtoto Julian Mwinuka na kuwaomba wengine zaidi kujitokeza kuchangia chochote kwa namba hiyo hapo juu

Comments

Popular posts from this blog