LIGI KUU TANZANIA BARA YA UNGURUMA LEO KWENYE VIWANYA MBALI MBALI  :HUKU JANGWANI WAKIANGUKIA PUA NA MNYAMA AKIENDELEZA UBABE WAKE.
 

Watoto wa Jangwani Dar es Salaam Young africans wameendeleza mwanzo mbaya wa Ligi Kuu Tanzania bara baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 toka kwa wakata miwa Mtibwa Sugar. Wakati huo Mnyama ameendelea kuunguruma uwanja wa Taifa baada kuichapa JKT Ruvu 2-0 Kwa mabao ya Amri Kiemba na Haruna Moshi Boban, pamoja na kucheza pungufu baada ya Emmanuel Okwi kupewa kadi nyekundu kipindi cha kwanza. Matokeo zaidi soma ubao wa matokeo wa Kili.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog