ALIOTOA HELA KATOA HELA HALALI NA ALIYEPOKEA MCHEZAJI KAPOKEA MCHEZAJI HALALI.
Usemi huu ulitimia tuu pale Robin van persie alivyopiga hat tric yake ya kwanza akiwa na timu yake mpya Manchester united aliyeamia akitokea kwa mahasimu wao Arsenal.
Rvp amelipa fadhila ya Fergie kumsajili na kuonyesha kuwa hajakosea kumsajili yeye hakika kwa sasa man utd waseme jingine.
Man utd kwa sasa imetimia kila sehemu ingawa bado ina mapungufu yaapa na pale ila itakaa vizuri hapo baadae maana inawakali kama KAGAWA aliyesajiliwa msimu huu, aliyeonyesha uhai mkubwa,Rvp mwenyewe,na wengine wengi.
mbaka kufikia sasa Rvp anaongoza ligi akiwa anamagoli manne juu.Hakika RVP ni Ruud van mpya ndani ya OT.

Comments
Post a Comment