MNYAMA  AENDELEZA TAMBO ZAKO
 Mnyama ameendelea kuunguruma katika Ligi Kuu Tanzania bara baada ya kuwachezesha kwata maafande wa Ruvu Shooting uwanja wa Taifa. Magoli ya Simba yametiwa nyavuni na Felix Sunzu huku yosso Edward "Eddo" Christopher akikwamisha wavuni bao la ushindi baada ya kazi nzuri ya Mrisho Alfan Ngassa.

Comments

Popular posts from this blog