USIKU WA MAAJABU KWENYE USAJIRI HUKO MAJUUU.

Dimitar Berbatov : Atimkia Fulham kwa mkataba wa miaka miwili straiker huyo kutoka nchini Bulgaria amekuwa na hali ngumu sana pale Old Trafford na haswa ujio wa Robin Ver Persie ndo maana ameamua kukusanya virago vyake na kwenda Fulham.


Manchester city yalamba dume kwa  Javi Garcia  kwa dau la $16m vile wamefanikiwa kupata sign za wachezaji wengine wawili  NatijaNastasic, 19, kwa dau la $ 13m huyu ni defender kutoka Fiorentina na vile vile wamefankiwa kupata sign ya babu Maicon kutoka Intermilan $3m,na hapo mwanzo walimpata kiungo hatari kutoka everton Jack Rodwell  kwa dau la £12m baada ya kumkosa Robin ver Persier aliyeamua kwenda Man united.


Javi Martinez pia lilikuwa ni chaguo la Mancin ila kwa habati mbaya mchezaji teyari kashasajiriwa na Bayern Munich akitokea A Madrid kwa dau $30m.


Rafael van der Vaart kaenda zake Hamburg  akitokea Tottenham spurs  kwa ada ya $10m na teyari ameshakabiziwa jezi namba 23..Van der Vaart amecheza msimu mmoja tuu akitokea Real madrid ya Hispain.




Comments

Popular posts from this blog