- Get link
- X
- Other Apps
TWITE AKABIDHIWA JEZI YANGA.
Mbuyi Twite beki mpya wa Klabu ya Yanga akikabidhiwa uzi wake mpya na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Yanga Abdallah Bin Kleb. Mchezaji huyu amezua balaa kati ya watani wa jadi baada ya Simba kudai kuwa wamezungukwa kwa sababu Mbuyi alishakubali kuwachezea huku wakilishutumu shirikisho la soka nchini na baadhi ya viongozi.

Comments
Post a Comment