TANZANIA NA UTUMBO WETU.

Mashindano ya Olimpiki yamefungwa jana huku washiriki wetu wakirudi mikono mitupu. Katika mchezo wa riadha, Tanzania iliwakilishwa na wakimbiaji wanne ambao ni Zakia Mrisho, Samson Ramadhan, Msenduki Mohamed na Faustine Mussa, waogeleaji wawili ambao ni Ammaar Ghadiyali na Magdalena Moshi na bondia mmoja ambaye ni Selemani Kidunda. Unadhani nini kimesababisha matokeo haya mabaya kabisa
Laiti kama mimi ni rais wa Tanzania hawa wote ningewachapa fimbo hazalani na kifungo cha kila mtu miaka miwili miwili naomba mnisamehe mtanzamo tuuu ila tutayafumbia macho mbaka lini .watu wanaojuwa wanachwa na wanapelekwa wasio juwa mwisho wa siku tunavuna utumbo.viongozi achieni ngazi wachukuwe wengine nyie hamna jipya wewe Fibert bayi na wenzako achieni madara kwa wanaojuwa na wenye uchungu na nchi yao.
utumbo mtupu huo.kenya na uganda fundisho kwetu hongereni sana kenya na uganda.na poleni Tanzania kwa utumbo wenu.Bayi achia madaraka hayo unakula hela za watu bure kwa kujinufaisha mwenyewe  hakuna kambi ya riadha wiki moja na unaenda kuwaweka kibaha hakunaga kama hayo.wewe  ni fisadi


 

Comments

Popular posts from this blog