STARS YAPATA  SARE UGENINI.


Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mrisho Ngassa akijaribu kutoka beki wa timu ya taifa ya Botswana Zebras Edwin Elerile wakati wa mechi ya Kimataifa ya Kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja Molepolole nje kitogo ya jijini la Gaborone. Mchezo uliisha kwa sare ya 3-3 huku mabao ya Stars yakifungwa na Erasto Nyoni, Mwinyi Kazimoto na Mrisho Ngassa.

Comments

Popular posts from this blog