Sensa yaanza Tanzania

Tanzania leo imeanza shughuli ya kuhesabu idadi ya watu nchini - shughuli inayofanywa kila baada ya miaka 10.
Wamaasai wa Tanzania
Shughuli zinaendelea ingawa baadhi ya Waislamu wanasema kuwa sensa hiyo imetungwa kwa namna ambayo haitaonesha idadi yao.
Waislamu wengine wanasisitiza msimamo wa kutoshiriki iwapo hawataulizwa dini yao.
Jumamosi Rais Kikwete aliwasihi watu kwamba ni vema kushiriki kwa ajili ya maendeleo ya nchi

Comments

Popular posts from this blog