RAIS KIKWETE KATIKA SWALA YA IDD LEO MSIKITI WA KINONDONI MUSLIM.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa  wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa miongoni wa waumini  walio swali swala ya eid

Comments

Popular posts from this blog