PENALTI IMEWAGHARIMU MANCHESTER UNITED.

Katika mchezo uliokuwa wa kujipima nguvu uliowakutanisha  majabali wawili Barcelona akiwa kama  mwenyeji na Manchester united.

kulikuwa na upinzani timu zote mbili lakini kama kawaida ya Barca huwaga hawana mpinzani katika swala soka katika dunia ya sasa haswa pale mpira anaposhika mchezaji wao mkali Lion Messi.kipindi  cha kwanza kikaisha bila ya timu kuchungulia lango la mwenzie.kipindi cha pili kilianza kwa Barcelona kubadilisha timu nzima na kuingiza wachezaji wengine huku Manchester wakiogopa kufanya mabadiliko hayo kwa pupa na matokeo wakawa wanabadilisha mchezaji mmoja kwa kuofia kufungwa  na Barcelona.

Manchester walijitaidi kucheza vizuri mbaka kufika langni mwa Barca mara kazaa mbaka wakafanikiwa kupata penalti iliyosababishwa na Mchezaji wao hatari Nani na penalti kupigwa Wayne Rooney na kwa bahati mbaya alikosa hiyo penalti na mbaka mwisho wa mpira matokeo yalikuwa ni 0-0 .Mpira ulikuwa mzuri sana tuliweza kuona wachezaji wapya na vipaji vipya vilivyosajiliwa na timu hizo mbili.

Comments

Popular posts from this blog