Nyota 10 wafupi zaidi Ligi Kuu England.
LONDON, England
LIGI Kuu England haikosi vituko. Licha ya kuwa yenye ushindani mkubwa dimbani, pia ligi hiyo inajivunia kuwa na wachezaji warefu na wafupi.
Miongoni mwa wachezaji wapya wa ligi hiyo, Santi Cazorla wa Arsenal ni mmoja wa wageni ambaye ameingia katika kumi bora.
Yeye ni mmoja wa wachezaji kumi wafupi zaidi kwa kimo wenye urefu wa futi 5 inchi 5, 6 na 7.
Baada ya kusajiliwa kwa pauni 15 kutoka Malaga, kiungo huyo aling'ara katika mchezo wa ufunguzi wa msimu dhidi ya Sunderland, Jumamosi.
Umahiri wake wa kuchezea mpira, kutoa pasi murua umemfanya Cazorla ambaye ameichezea Hispania mechi za kimataifa 49 awe na kitu zaidi cha kujivunia.
Lakini, si yeye pekee ambaye ni mfupi zaidi katika Ligi Kuu England, wapo wengine tisa.
Nathan Dyer (Swansea), Aaron Lennon (Tottenham), Shaun Wright-Phillips (QPR),
Leon Britton (Swansea), James McArthur (Wigan),
Santiago Cazorla(Arsenal), Vurnon Anita (Newcastle), Wes Hoolahan (Norwich), Paul Scholes (Man United).
![]() |
| Santiago Carzola |

Comments
Post a Comment