NGORO NGORO HEROES YATOKA MIKONO NYUMA KWA NIGERIA.
Timu ya ngoro ngoro imetolewa kwa idadi ya magoli 4-1,ambayo mechi ya kwanza ilitoka kwa kufungwa 2-1 na pili kwa kupigwa 2-0 hiyo na kufikisha idadi ya magoli 4-1 dhidi ya nigeria.
Huwa najiuliza lini na sisi tutakuwa kama wenzetu ambao wanafanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa na kitaifa pia sasa sisi hatuna kitaifa wala kimataifa kote tunafanya vibaya nachukia sana halafu viongozi hy hali wanaiyona ila wanaifanyia makusudi .
Tujilekebishe na Tujiandae kutengeneza timu ya ukweli na sio ujanja ujanja wa mjini.
kikosi cha ngoro ngoro heroes kikiwa kwenye picha ya pamoja

Comments
Post a Comment