MRISHO NGASA  WA MSIMBAZI SIO TENA WA JANGWANI WALA RAMBA RAMBA.

Mshambuliaji wa Taifa Stars Mrisho Ngassa amesajiliwa na wekundu wa msimbazi Simba kwa mkataba wa miaka miwili toka Klabu yake ya zamani Azam FC hivyo kumaliza uvumi kuwa alikuwa anajiandaa kutua Jangwani

Comments

Popular posts from this blog