MANCHESTER YAKARIBIA KWA RVP
Timu ya manchester iko mbioni kumsajiri mshambuliaji hatari kutoka Arsenal Robin Van Persie kwa ada kwa hela iliyowekwa wazi na machester united ila ugumu uko kwa club ya Arsenal ambao hawataki kumuuza RVP kwa manchester wako tayari wamuachie clabu nyingine ila co manchester united .Ila boss wa mashetani wekundu amesema atahakikisha anafanya kila njia anase saini ya mdachi huyo.

Comments
Post a Comment