KILA LA KHERI  STARS-BOTSWANA

Wachezaji wa Timu ya Taifa,Kili Taifa Stars wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama Mjini Gaborone, Botswana tayari kwa mchezo wa kirafiki na The Zebras ya Botswana leo Jumatano jioni katika Uwanja wa Taifa wa Molepolole. Kila la heri Stars.

Comments

Popular posts from this blog