African Lyon

Kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara Klabu ya African Lyon imemtangaza Pablo Ignacio Velez raia wa Argentina kama kocha mpya atakaekinoa kikosi hicho msimu huu. Amesisitiza kuwa atahakikisha vijana wanapewa nafasi ya kuonyesha vipaji katika kikosi cha kwanza

Comments

Popular posts from this blog