Soka ya wanawake yafungua Olimpiki.
Mashindano ya kwanza yameanza katika Olimpiki ya
mwaka huu, licha ya kwamba michezo hii inafunguliwa rasmi hapo Ijumaa.
Akina dada wa timu ya soka, Uingereza wanachuana na New Zealand katika
mechi ya soka ya wanawake , mji mkuu wa Wales, Cardiff.Mgomo huu ulitishia kuvuruga shughuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Heathrow..
Comments
Post a Comment