MESSI AZINDUA MVINYO WAKE - RONALDO NA KAKA YAKE WAFUNGUA KLABU YA USIKU: JE RONALDO ATAUZA MVINYO HUO WA MESSI KWENYE KLABU YAKE???
Kama ilivyotangazwa mwezi February,
Kampuni ya Argentina ya kutengenza wine Bodega Valentin Bianchi
amezindua wine za Leo Messi kwa kushirikiana na Foundation ya Leo Messi,
huku faidika itakayopatikana kupitia wine hizo itaenda kusaidia watoto
wenye matatizo.
Chupa za wine hizo zimebandikwa lebo aidha ya
jezi au mpira huku jina la "Leo" likiwa juu yake. Wine hizo zitakuwa
zikipatikana Europe na Asia na Argentina pia.
Kwa upande mwingine Cristiano Ronaldo na kaka yake wamefungua klabu ya usiku huko Ureno inayoitwa Seven Vilamoura
NDANI JINSI KULIVYO
This is where Cristiano winks at hookers. (Seven Vilamoura)
This is where Cristiano has his naked rollerblading parties. (Seven Vilamoura)





Comments
Post a Comment