KIMARA UNITED FOOTBALL CLUB.

Kimara united ni timu ya watu wa kimara  wanaipenda na wanaipa sapoti kwa namna zote ili kuakikisha timu yao inafika mbali ukilinganisha ni timu zingine zilizoea kuziona hapo zamani.Hii timu yenye malengo makubwa sana na ndoo maana wakaweza kumchukua kocha toka twiga stars ili wapate kufundishwa na kutimiza malengo yao.Hakika itafika mbali na hata kuipepelusha bendera ya tanzania kwa baadhi ya wachezaji .


vijana wakiwa mzigoni kwenye mazoezi magumu huko kwenye uwanja hao kama mdau wa blog alivyowakuta.

 Vijana  wa kimara (KUFC)wakifanya mzoezi kwa juhudi kubwa chini ya usimamizi wa kocha FETTY.
ZD the captain akiwajibika katika moja ya mozezi hapo uwanjani kwao kama mdau wa blog alivyokuwakuta.

Comments

Popular posts from this blog