BIBI MGONJWA MORO AKOSA FEDHA YA BODABODA, ASAFIRISHWA KWA MKOKOTENI.

Katika hali ya kuhuzunisha bibi mmoja ambaye ni mgonjwa wa miguu jana jioni alinaswa na kamera yetu katikati ya mji wa Morogoro eneo la Lunna akisafiri na mizigo yake kwa kutumia usafiri wa mkokoteni baada ya  kukosa fedha ya kukodi  pikipiki (boda boda).

Dereva wa mkokoteni huo Rajabu Ally alipohojiwa alisema alimkuta bibi huyu stendi ya daladala akiwa na mizigo yake akitokea kijijini na kwamba alikuja  hapa kwa mwanaye kwa lengo la kutibiwa ugpnjwa wa miguu.

 

Comments

Popular posts from this blog