Hao ndo ma miss wanao wania taji la miss tabata 2012 wakiwa kwenye pozi.
Hiyo ndio tano bora iliyobahatika kuingia.
Mshindi wa kinyang'anyiro cha Redd's miss tabata 2012 Noela Michael(katikati)akiwa pamoja na mshindi wa pili Diana Siamon(kushoto) na mshindi wa tatu Wilhemina Mvungi(kulia).Muda mfupi baada ya kumalizika kwa kinyang'anyiro hicho usiku huu kwenye ukumbi wa Da west park jijini dar-es-salaam

Comments
Post a Comment