Ma miss Tabata wakiwa kwenye moja ya mazoezi kabla ya kinyang'anyilo cha kumpata miss tabata hapo juzi.
Ma miss wakiwa wamepozi baada ya mazoezi makali.
Baada ya kazi ngumu ya mazoezi ma miss wakijaribu kupooza rejeta zao baada ya kuchemsha .na chini hapo wengine wakiendelea na na dance kwa ajili kulainisha viungo vyao.
Comments
Post a Comment