kimara united timu  wakiwa kwenye tizi coco beach kama camera ya mdau ilivyo wakuta.
 Kocha akifuatilia kwa makini mazoezi ya vijana wake.
 Mwanzo mwisho



 Hakuna lala hapa uvivu  star ranger.

 Wachezaji   wakiwa mazoezini ndani ya coco beach.
 Kaseja na ZD wakibadilishana mawazo baadaya  mazoezi.
 Wachezaji wakiwa katika moja ya mozezi ya timu yao hapo coco beach.
Wanawake pia wanaweza kama wakipewa nafasi ,,,,,,kama hawa wanaweza .ni makocha wa timu ya Kimara united yenye maskani yake kimara mwisho.

Comments

Popular posts from this blog